
- Mwanzo
- SLTW 2025
SLTW 2025: Wiki ya Kwanza ya Usafiri Endelevu Ardhini
24 – 29 Novemba 2025 · JNICC na Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam · Kaulimbiu: “Nishati safi na ubunifu katika usafirishaji”
Kwa ufupi
Mwanzo wa safari ya kijani
Mwaka 2025, kwa mara ya kwanza, Tanzania iliadhimisha Siku ya Usafiri Endelevu Duniani kwa wiki nzima ya mikutano, maonesho, ziara na tuzo. Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), aliifungua rasmi tarehe 26 Novemba 2025.
“Serikali itaendelea kuboresha huduma za usafiri kwa kutumia nishati safi.”
Prof. Makame Mbarawa — Waziri wa Uchukuzi (2025), kwa mujibu wa Daily News
2025Vivutio
Yaliyojiri 2025
Wafadhili na washirika
Waliowezesha SLTW 2025
Vyombo vya habari
