1. Mwanzo
  2. Piga kura

Tuzo za Watoa Huduma 2026

LATRA inashindanisha watoa huduma za usafiri ardhini bora kwa mwaka 2026. Tuzo zitatolewa kwa washindi wakati wa maadhimisho ya pili ya wiki ya usafiri endelevu ardhini 24-26 November 2026.